Joyce Korir

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Joyce Korir Chepkoech ni mbunge wa Kenya. Alichaguliwa akiwa mgombea wa Jubilee Party katika jimbo la Bomet , kaunti ya Bomet, kwenye mwaka 2017.

Chepkoech alihitimu elimu ya shahada ya utawala wa kuanti kwenye mwaka wa 2014 pale Jomo Kenyatta University of Agriculture and Technology.

Aliwahi kufanya kazi kama kiongozi wa wadi ya Bomet mwaka wa 2013.