Nenda kwa yaliyomo

Joyce Emanikor

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Joyce Akai Emanikor ni mwanasiasa wa Kenya ambaye kwa sasa ni mwanachama wa bunge la taifa kama mwakilishi wa wanawake katika kaunti ya Turkana.Emanikor ni mwanachama wa chama cha jubilee.[1]

Emanikor alisoma katika chuo kikuu cha Daystar na chuo kikuu cha Manchester kabla ya kufanya kazi OXFAM na UNICEF. [1]

  1. 1.0 1.1 "Hon. Emanikor, Joyce Akai". Kenyan Parliament. Iliwekwa mnamo 2020-09-20.