Joto Hasira
Mandhari
“Joto Hasira” | |||||
---|---|---|---|---|---|
Kava la single ya Joto Hasira
| |||||
Single ya Lady Jay akiwa na Professor Jay | |||||
Imetolewa | Machi, 2013 | ||||
Muundo | CD | ||||
Imerekodiwa | 2013 | ||||
Aina | Bongo Flava | ||||
Urefu | 4:34 | ||||
Studio | Combination Sound | ||||
Mtunzi | Lady Jay Dee | ||||
Mtayarishaji | Man Walter | ||||
Mwenendo wa single za Lady Jay akiwa na Professor Jay | |||||
|
Joto Hasira ni jina la kutaja wimbo ulioimbwa na kutungwa na msanii wa muziki wa Bongo Flava kutoka nchini Tanzania - Lday Jay Dee. Wimbo huu ameshirikiana na Professor Jay. Ndani yake anaonekana kupiga vijembe wale watu wanaopenda kujivutia upande wao tu na kusahau wengine. Haiwezekani leo tunapata raha pamoja, lakini ikija shida uanze mbio.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]Viungo vya Nje
[hariri | hariri chanzo]- http://hassbaby.blogspot.com/2013/03/download-lady-jay-dee-ft-prof-jay-joto.html Ilihifadhiwa 19 Januari 2014 kwenye Wayback Machine. katika Hassbaby-Blogu
- Joto Hasira katika YouTube
Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Joto Hasira kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |