Josephine Sinyo
Mandhari
Josephine Sinyo ni mwanasheria wa Kenya, mwanasiasa na mwanaharakati wa haki za walemavu. Josephine ni mbunge wa bunge la Kenya, baada ya mwaka 1998 kuwa kipofu wa kwanza kuchaguliwa kuwa mbunge.[1][2][3]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ pm, Ezra Manyibe on 21 January 2020-1:43 (21 Januari 2020). "Ambitious Woman Who Was Kenya's First Blind MP". Kenyans.co.ke (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2021-02-26.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) CS1 maint: numeric names: authors list (link) - ↑ Obiria, Moraa (21 Desemba 2020). "I was blindly accused of stealing a baby". Nation. Iliwekwa mnamo 18 Januari 2022.
{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "World Rowing - Kenya rows in East Africa Regional Rowing Championships". World Rowing (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2021-02-26.
| Makala hii kuhusu mwanasiasa huyo wa Kenya bado ni mbegu. Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |