Josephine Dickinson
Josephine Dickinson (alizaliwa 9 Januari 1957) ni mshairi wa Kiingereza.[1]
Wakati Dickinson akiwa na umri wa miezi kumi na nane, alipata matatizo ya uti wa mgongo na alilazwa hospitalini kwa wiki mbili, na kupoteza uwezo wake wa kusikia baada ya miezi sita.[2] Alikuwa akiishi mbali kidogo na eneo la Pennines akichunga kondoo pamoja na kuandika Mashairi.[3]
Toleo lake la diwani ya mashairi iliyojulikana kama Silence Fell, lilichaguliwa na wahariri wa New York Times mwaka 2007,[4] aliandika kuhusu ndoa yake ya miaka sita kwa mume wake, ambayo ilianza katika kipindi akiwa na umri wa miaka arobaini na moja.[2] James Longenbach katika New York Times ilielezea mashairi yake kama yasiyo na adha, yaliyo maridadi na yasiyoweza kuepukika na yenye kuonyesha mapenzi imara katika lugha na ndiyo yaliyosababisha kutokea kwa mashairi ."[2]mhakiki wa Chicago Tribune Katie Peterson aliaandika kwamba mashairi ya Dickinson yalikuwa y akizungumzia mapenzi na ufugaji wa kondoo huku akielezea mambo ya mapenzi katika upana zaidi .[5] Phoebe Pettingell alimuelezea Dickinson ameendelea katika kazi yake na mashairi yake ni yenye hisia na matumaini,mshairi mwingine Amy Newman alimuelezea Dickinson kama mtu mwenye kipaji.
Kazi Zake
[hariri | hariri chanzo]- Scarberry Hill (2001)
- The Voice (2003)
- Silence Fell (2007),[6]
- Night Journey (2008)
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ David Ward, 6 June 2006, The Guardian, People, Retrieved 22 July 2015, "...Other poets lined up include ... Josephine Dickinson, ..."
- ↑ 2.0 2.1 2.2 JAMES LONGENBACH, 22 July 2007, The New York Times, [https://www.nytimes.com/2007/07/22/books/review/Longenbach-t.html?pagewanted= aliolewa akiwa ni kiziwi mwenye umri wa miaka 41,miaka sita ya ndoa yao ilikuwa ni somo katika Silence Fell
- ↑ "Josephine Dickinson". poetryfoundation.org. Poetry Foundation. Iliwekwa mnamo 20 Julai 2015.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ NYT editors, 29 July 2007, The New York Times, Editor’s Choice, Retrieved 22 July 2015, "...SILENCE FELL, by Josephine Dickinson. (Houghton Mifflin, $22.) The British poet, deaf since childhood, writes about her six-year marriage to a sheep farmer twice her age...."
- ↑ 25 March 2007, Katie Peterson, Chicago Tribune, New collections showcase: sensuality, directness and the power of thought Archived 23 Julai 2015 at the Wayback Machine., Retrieved 22 July 2015, "..."Silence Fell," British poet Josephine Dickinson's American debut, is about sheep farming and love. ... her best when she addresses love directly..."
- ↑ "A landscape of history, nature and survival (Review of Silence Fell)", Chicago Sun-Times, 8 April 2007.
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Josephine Dickinson kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |