Joseph Wamukoya
Mandhari
Dkt. Joseph Pius O Wamukoya (22 Agosti 1942 - 3 Mei 2021) alikuwa mwanasiasa wa Kenya, ambaye hadi desemba 2002 alikuwa waziri msaidizi katika serikali ya Kenya African National Union (KANU) ya Daniel arap Moi. Moi alimteua kuwa waziri msaidizi katika wizara ya ardhi na makazi mnamo Juni 2001. [1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "NDP MPs appointed to the Government". Nairobi and Science and Engineering Research Center. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 22 Julai 2011. Iliwekwa mnamo 12 Machi 2011.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mwanasiasa huyo wa Kenya bado ni mbegu. Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |