Joseph Franz Auersperg
Mandhari
Josef Franz Anton Graf von Auersperg (Vienna, 31 Januari 1734 – Passau, 21 Agosti 1795) alikuwa askofu wa Austria, askofu mkuu wa Passau na kardinali. Alikuwa mwanafamilia wa nyumba ya Auersperg.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |