Nenda kwa yaliyomo

José María Algué

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Padri José María Algué

José María Algué, S.J. (29 Desemba 185627 Mei 1930) alikuwa kasisi wa Kanisa Katoliki kutoka Hispania na mtaalamu wa hali ya hewa katika kituo cha uangalizi wa hali ya hewa cha Manila.

Alibuni barocyclonometer, nephoscope, na aina fulani ya microseismograph.[1]

  1. Annual Report of the Secretary of War, Volume 3. War Department, US Government Press. 1914. uk. 144.
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.