José Garibi y Rivera
Mandhari
José Mariano Garibi y Rivera (30 Januari 1889 – 27 Mei 1972), alikuwa kardinali na Askofu Mkuu wa Guadalajara. Alikuwa kardinali wa kwanza wa Meksiko wa Kanisa Katoliki.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |