Jonathan Nahimana

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Jonathan Nahimana (alizaliwa 12 Desemba 1999) ni mchezaji wa soka wa timu ya taifa Burundi ambaye anacheza kama kipa wa Vital'O FC na timu ya taifa ya mpira wa miguu ya Burundi.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jonathan Nahimana kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.