Jonas Ntsiko

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Jonas Ntsiko (1860 - 1915) alikuwa mhubiri, mwandishi na mwalimu wa Afrika Kusini. Aliandika mashairi na nyimbo hasa kwa Kixhosa. Pia aliandika kwa gazeti la Kixhosa liitwalo Isigidimi samaXhosa.

Angalia pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Chapman, Michael. 2003. Southern African Literatures, University of Natal Press. ISBN: 1-86914-028-1
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jonas Ntsiko kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.