Joka (mchezo)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Joka ni mchezo asilia wa watoto wa Afrika Mashariki. Mchezo huu wa bahati nasibu huhusisha watu wawili au zaidi.

Vifaa vinavyotumika ni karatasi iliyochorwa joka pamoja na kalamu ya kurekodia alama.

Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Joka (mchezo) kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.