John Cunningham Mclennan

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

John Cunningham Mclennan (Oktoba 14, 1867Oktoba 9, 1935) alikuwa mwanafizikia wa Kanada.

Alizaliwa Ingersoll, Ontario.

Alimaliza masomo yake kwenye chuo kikuu cha Toronto mnamo mwaka 1892 na alikuwa profesa wa fizikia huko kutoka mwaka 1907 hadi 1931.

Mchango wake mkubwa kwenye fizikia ulikuwa utafiti wake kuhusu ukinzani na upitishaji wa umeme katika vipitishi mbalimbali na spektra za elementi.

Mandishi yake[hariri | hariri chanzo]

(yote yanapatikana kwenye archive.org)

Marejo ya nje[hariri | hariri chanzo]

  • Eve, A. S. (1935). "Sir John Cunningham McLennan. 1867-1935".
Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu John Cunningham Mclennan kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.