Johannes Vilhelm Jensen

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Tuzo Nobel.png
Johannes Vilhelm Jensen

Johannes Vilhelm Jensen (20 Januari 187325 Novemba 1950) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Denmark. Anajulikana hasa kwa riwaya yake "Safari Ndefu" (kwa Kidenmark Den lange rejse) iliyotolewa katika majuzuu sita miaka ya 1908-22. Mwaka wa 1944 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Inkwell icon - Noun Project 2512.svg Makala hii kuhusu mwandishi fulani wa Ulaya bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Johannes Vilhelm Jensen kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.