Johann Lepenant
Mandhari
Johann Théo Tom Lepenant (alizaliwa 22 Oktoba 2002) ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Ufaransa, ambaye anacheza kama kiungo mkabaji katika klabu ya Olympique Lyonnais inayoshiriki Ligi Kuu ya Ufaransa[1].
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "France - J. Lepenant - Profile with news, career statistics and history - Soccerway". int.soccerway.com. Iliwekwa mnamo 2024-06-16.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Johann Lepenant kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |