Nenda kwa yaliyomo

Johan Grebongo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Johan Grebongo
Nafasi Mchezaji wa Mbele wa Nguvu na Kati
Nambari 18
Ligi LNB Pro B (Ufaransa)
Tarehe ya kuzaliwa 18 Januari 1994 (miaka 31)
Mahali alikozaliwa Bangui, Jamhuri ya Afrika ya Kati
Utaifa Jamhuri ya Afrika ya Kati Mjamani wa Afrika ya Kati
Urefu 2.06 m (6 ft 9 in)
Taaluma ya mpira wa kikapu Anacheza tangu mwaka 2012 hadi sasa
Historia ya taaluma ya kikapu
2012–2013Red Star
2013–2015BCM Gravelines
2016–2022FC Mulhouse
2022–sasaTours

Johan Grebongo (alizaliwa 18 Januari 1994) ni mchezaji wa kimataifa wa mpira wa kikapu wa Jamhuri ya Afrika ya Kati pia ni mchezaji wa klabu ya Mulhouse inayoshitiki katika ligi ya LNB Pro B.[1]

Grebongo anaiwakilisha Jamhuri ya Afrika ya Kati katika mashindano ya kitaifa. Aliishindia nchi yake katika mashindano ya AfroBasket 2013 na AfroBasket 2015 chini ya kocha mkuu Aubin-Thierry Goporo.[1][2]

  1. 1 2 http://www.lnb.fr/fr/Pro-A/200006/Joueurs/A61669/Grebongo-Johan?saison=2015
  2. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2015-07-20. Iliwekwa mnamo 2022-09-04.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Johan Grebongo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.