Aubin-Thierry Goporo
Mandhari
| Nafasi | Mkurugenzi wa Maendeleo ya Wachezaji wa Chuo Kikuu (Director of Student-Athlete Development) |
|---|---|
| Ligi | SEC (Southeastern Conference) |
| Tarehe ya kuzaliwa | 15 Mei 1968 (miaka 57) |
| Mahali alikozaliwa | Bangui, Jamhuri ya Afrika ya Kati |
| Utaifa | Kigezo:Flag icon/core Mjamani wa Afrika ya Kati / Kigezo:Flag icon/core Mmarekani |
| Urefu | 1.85 m (6 ft 1 in) |
| Uzito | 78 kg (172 lb) |
| Elimu ya juu | Florida Tech (1992–1996) |
| Draft ya NBA | 1996: Hakuchaguliwa (undrafted) |
Aubin-Thierry Goporo (alizaliwa tarehe 15 mei 1968) ni kocha wa mpira wa kikapu Afrika ya kati pia alikuwa mchezaji apo awali ambaye ni mkurugenzi wa maendeleo timu ya wanafunzi ,Tennessee Volunteers basketball team.[1] Alicheza mpira wa kikapu chuoni Florida Tech Panthers na kihitimu mwaka 1996.Goporo alikuwa kaitka timu ya taifa ya kikapu Jamhuri ya Afrika ya kati iliyo shiriki Olimpiki mwaka 1988, alikuwa kocha wa mwaka 2015 kwanye mashindano ya FIBA Afrika.[2]
Ni kaka wa mchezaji wa mpira wa kikapu na kocha Frédéricque Rufin Goporo.[3]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Aubin Goporo". University of Tennessee Athletics. Iliwekwa mnamo 13 Julai 2020.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Evans, Hilary; Gjerde, Arild; Heijmans, Jeroen; Mallon, Bill; na wenz. "Aubin-Thierry Goporo". Olympics at Sports-Reference.com. Sports Reference LLC. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-04-18.
- ↑ "Central African Republic Basketball needs to re-emerge". FIBA. 13 Julai 2013. Iliwekwa mnamo 13 Julai 2020.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Aubin-Thierry Goporo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |