Jizzle (msanii)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Jizzle (jina la kuzaliwa Jerreh Jallow, 1994 [1] ) ni msanii wa Afro-pop kutoka Gambia . [2] Alipokea tuzo 5 za muziki za tuzo za Wah Sa Halat, ikiwa ni pamoja na tuzo ya msanii bora wa mwaka 2018.

Orodha ya kazi za muziki[hariri | hariri chanzo]

Albamu[hariri | hariri chanzo]

  • The Next Big Thing (2018) [3]
  • Finally (2019) (featuring Dip Doundou Guiss, Shaydee, Samba, Peuzzi, Bm Jaay, and Hakill) [3]
  • Scorpion (2020)


Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Interview: Jizzle Is Putting Gambian Afro-Pop On the Global Map". OkayAfrica (kwa Kiingereza). 2020-03-19. Iliwekwa mnamo 2020-08-21. 
  2. "The Rise and Rise of Jizzle, Gambian Music’s ‘Man of the Moment’". The Chronicle Gambia (kwa en-US). 2020-02-01. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-09-29. Iliwekwa mnamo 2020-08-21. 
  3. 3.0 3.1 "Gambia: All Set for Jizzle's 'Finally' Album Concert". allAfrica.com (kwa Kiingereza). 2019-11-22. Iliwekwa mnamo 2020-08-21. 
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jizzle (msanii) kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.