Nenda kwa yaliyomo

Jimbo la Madrid

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jimbo la Madrid

Jimbo la Madrid ni jimbo la kujitawala (kwa Kihispania: comunidade autónoma) la Hispania, likiundwa hasa na mji mkuu wa nchi, Madrid.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu maeneo ya Hispania bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Jimbo la Madrid kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.