Jesus Navas

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jesus mwaka 2017.

Jesus Navas Gonzalez (alizaliwa 21 Novemba 1985) ni mchezaji wa soka, taifa lake ni Hispania na anacheza winga kwa timu yake ya klabu; kwenye timu yake ya taifa anacheza namba (8) au tunasema difenda pia.

Alishawahi kucheza Sevilla alichzea timu yake kwa mechi 393 katika micheo yote hiyo alicheza katika makoe yafuatayo: UEFA cups na Copa de Rey mnamo mwaka 2013 alichezea Manchester City alicheza timu yake ya taifa 2009. Navas alisaidia timu yake ya taifa 2010 katika kombe la dunia na 2012 katika kombe la Euro.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jesus Navas kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.