Jerome Friedman

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jerome Friedman

Jerome Isaac Friedman (amezaliwa 28 Machi 1930) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Marekani. Alipokuwa mwanafunzi katika chuo kikuu cha Chicago, alifanya kazi chini ya Enrico Fermi. Hasa alichunguza atomu na mfumo wake. Mwaka wa 1990, pamoja na Henry Kendall na Richard Taylor alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.

Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jerome Friedman kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.