Jennifer Abod

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Jennifer Abod (alizaliwa 1946) ni mwanaharakati, mwanamuziki, mwandishi wa habari, na mtengenezaji wa filamu nchini Marekani.

Jennifer ni mwanaharakati wa masuala ya wanawake.[1]

Alipata Shahada ya kwanza katika masuala ya Sayansi kutoka Chuo Kikuu cha Southern Illinois.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Rachel Blau DuPlessis; Ann Snitow (March 2007). The Feminist Memoir Project: Voices from Women's Liberation. Rutgers University Press. uk. 361. ISBN 978-0-8135-3973-7. Iliwekwa mnamo 4 January 2012.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jennifer Abod kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.