Jem Godfrey
Jinsia | mume |
---|---|
Nchi ya uraia | Ufalme wa Muungano |
Jina katika lugha mama | Jem Godfrey |
Jina la kuzaliwa | Jeremy Peter Godfrey |
Jina halisi | Jeremy, Peter |
Jina la familia | Godfrey |
Tarehe ya kuzaliwa | 6 Oktoba 1971 |
Lugha zinazozungumzwa, zilizoandikwa au zilizotiwa sahihi | Kiingereza |
Kazi | Mtunzi wa nyimbo, Mtayarishaji wa Muziki |
Instrument | keyboard instrument |
Mwanachama wa | Frost* |
Genre | Muziki wa pop |
Tuzo iliyopokelewa | Ivor Novello Awards |
Hati miliki | PRS for Music |
Jem Godfrey |
---|
Jeremy "Jem" Godfrey (alizaliwa 6 Oktoba 1971) ni mtayarishaji wa nyimbo, mchezaji wa keyboard na mtunzi wa miziki kutoka Ufalme wa Muungano.
Godfrey alihusika na ufanisi wa nyimbo nyingi kwa ushirikiano wa Bill Padley wa Wise Buddah, ikiwemo single ya Atomic Kitten "Whole Again", ambayo kibaki katika matuzo mawili ya Ivor Novello Award na Utayarishaji wa roleo la kimataifa "Kiss Kiss" ya Holly Valance.
Alishinda katika tuzo za Ivor Novello on 25 Mei 2006 kwa single iliyo na mauzo bora zaidi, "That's My Goal", kwa The X-Factor Shayne Ward[1].
"That's My Goal", ilitolewa nchini UK mnamo 21 Desemba 2005. Baada ya kuuza nakala 742,000 katika wiki, ilikuwa ya nyimboa bora zaidi ya Krismasi ya mwaka wa 2005. Ilishikilia nafasi ya juu kwa wiki nne na ikakawa 75 bora hadi Juni 2006, ambazo ni wiki 21. Kwa wakati huo basi iliorodheshwa kushika nafasi ya nne (4 ) ya mauzo ya kasi zaidi nchini Marekani ya wakati wote, ikishindwa na Candle In The Wind ya Elton John, "Anything Is Possible/Evergreen ya Will Young na "Unchained Melody" ya Gareth Gates ambazo zilikuwa na mauzo ya 685,000, 403,000 na 335,000 mtawalia katika siku zao za kwanza za mauzo. Kufikia leo, "That's My Goal" imeuza nakala 1,080,000.
Mnamo mwaka 2004, Godfrey aliunda kundi la “progressive rock " la Frost* ambao kufikia leo wametoa albamu mbili za studio na albamu moja ya Mubashara.
Mnamo mwaka 2009, Godfrey alitangaza katika Frost* wakati wa majadiliano kuwa amechanga msaada wa keyboard Mbili kwa albamu ya Big Big Train, The The Underfall Yard.[2].
Diskografia
[hariri | hariri chanzo]Mtunzi wa Single
[hariri | hariri chanzo]- Bye Bye Boy - Jennifer Ellison
- Girl's Mind - Play
- I Must Not Chase the Boys - Play
- (Some words in the song) Tide Is High (Get the Feeling) - Atomic Kitten
- Whole Again - Atomic Kitten
- That's My Goal - Shayne Ward
- "What's Your Name" - Morcheeba
Utunzi Mwingine
[hariri | hariri chanzo]- Best In Me - Blue
- If It Takes All Night - Blue
- Love R.I.P. - Blue
- Body to Body - Britannia High
- Confessions - Britannia High
- Number 1 - Cherie
- Absolutely - Gareth Gates
- Whole Again - Play
- Miracle In Me - Rik Waller
- Joy and Pain - Ronan Keating
- Where Does It End Now? - Samantha Mumba
- Body to Body - XYP
- Confessions - XYP
M0tayarishi
[hariri | hariri chanzo]- Blue - All Rise (2002, Programming, Mcheza vyombo)
- Ronan Keating - Destination (2002, Arranger, Mtayarishi, Mcheza Vyombo)
- Disneymania (2002, Mtayarishi)
- Atomic Kitten - Feels So Good (2002, Arranger, Programming, Mtayarishi, Mcheza vyombo)
- Holly Valance - Footprints (2002, Arranger, Programming, mchezaji vyombo vingi, Mtayarishi, Kuchanganya)
- Various Artists - Now Dance 2003 (2002, Mtayarishi)
- Various Artists - Now, Vol. 53 (2002, Arranger, Mtayarishi)
- Lulu - Together (2002, Arranger, Programming, Mtayarishi, Ucheza vyombo)
- Atomic Kitten - Atomic Rooster (2003, Arranger, Keyboards, Programming, Mtayarishi, Mcheza vyombo)
- Various Artists - Brit Awards 2003 (2003, Producer)
- Atomic Kitten - Feels So Good (2003, Arranger, Programming, Mtayarishi, Uchezaji vyombo)
- Gareth Gates - Go Your Own Way (2003, Mcheza vyombo)
- Various Artists - Hit 56 (2003, Mtayarishi)
- The Lizzie McGuire Movie Original Soundtrack (2003, Mtayarishi)
- Various Artists - Now, Toleo la 54 (2003, Mtayarishi)
- What a Girl Wants Original Soundtrack (2003, Mtayarishi, Kuchanganya)
- Ronan Keating - 10 Years of Hits (2004, Arranger, Programming, Mtayarishi, Mcheza vyombo)
- Blue - Best of Blue (2004, Mtayarishi, Mcheza vyombo)
- Play - Don't Stop the Music (2004, Mtayarishi, Mcheza vyombo)
- Gareth Gates - Go Your Own Way (2004, mtayarishi, Kuchanganya, Mcheza vyombo)
- Atomic Kitten - Greatest Hits (2004, Arranger, Keyboards, Programming, Producer, Remixing, Instrumentation)
- Lulu - Greatest Hits (2004, Arranger, Programming, Producer, Instrumentation)
- Various Artists - Hip to Hip/Can You Feel It, Pt. 1 (2004, Arranger, Multi Instruments, Producer)
- Various Artists - Hip to Hip/Can You Feel It, Pt. 2 (2004, Mtayarishi, Mcheza vyombo)
- Various Artists - I Love 2 Party 2004 (2004, Mtayarishi)
- Disney's Mega Movie Mix (2004, Mtayarishi)
- Cherie - No. 1, Pt. 1 (2004, Mtayarishi, Mcheza vyombo)
- Cherie - No. 1, Pt. 2 (2004, Mtayarishi, Mcheza vyombo)
- Jennifer Ellison - Bye Bye Boy (2004, Mtayarishi, Kuchanganya, Mwanamuziki)
- Blue - 4Ever Blue (2005, Mtayarishi, Mcheza vyombo)
- Atomic Kitten - Access All Areas: Remixed and B-Sides (2005, Arranger, Keyboards, Programming, kuchanganya (Remix), Mtayarishi, Mcheza vyombo)
- Various Artists - Handbag Handbag Handbag: The Soundtrack to the Perfect Girls' Night Out (2005, Mtayarishi)
- Frost* - Milliontown (2005, Keyboards, Vocals, Mtayarishi)
- Frost* - Experiments In Mass Appeal (2008, Keyboards, Vocals, Moose Whispering, Producer)
- Frost* - Frost*Fest (2009, Keyboards, Vocals)
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "The 2006 Ivor Novello Awards". The Performing Right Society. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2006-09-28. Iliwekwa mnamo 27 Julai 2006.
{{cite web}}
: Unknown parameter|dateformat=
ignored (help) - ↑ "Godfrey and Dunnery". frostmusic.net. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-07-25. Iliwekwa mnamo 2010-01-21.
Viungo vya Nje
[hariri | hariri chanzo]- Frost* Main Site Archived 26 Januari 2010 at the Wayback Machine.
- Godfrey's blog
- A collection of Godfrey's Demos, MIDI files, and lyrics. Archived 1 Januari 2009 at the Wayback Machine.