Jeff Maluleke

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Jeff Maluleke (alizaliwa 1977) ni mwanamuziki wa nchini Afrika Kusini. [1] [2] Jeff alizaliwa na Dora na Johannes Maluleke katika mji wa Bushbuckridge, Mpumalanga mnamo 1977.

Mnamo 2002, Tuzo za Kora All-Africa Music Awards zilimtunuku kama mwanamuziki bora wa mwaka". [1] [3]

Alisaini mkataba wa rekodi lebo ya CCP Records mnamo Septemba 1995 na akatoa albamu inayojulikana kama Papa Jeff, ilyokuwa na mauzo kwenye zaidi ya vitengo 30,000 ambapo albamu iliitunikiwa katika hadhi ya dhahabu. [4] [5]

Mnamo 2004, katika hafla ya 10 ya Tuzo za Muziki za Afrika Kusini alishinda kama mtunzi bora wa kiume kupitia wimbo wake wa "Mambo". [6]

Orodha ya kazi za muziki[hariri | hariri chanzo]

Albamu[hariri | hariri chanzo]

  • Juliana (EMI, 2000)
  • Dzovo (EMI, 2001)
  • Kilimanjaro (EMI, 2001)
  • Mambo: The Collection (ccp Record Company, 2004)
  • Mambo (EMI, 2006)

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. 1.0 1.1 Mojapelo, Max; Galane, Sello (2008). Beyond Memory: Recording the History, Moments and Memories. Jeff Maluleke was born to Dora and Johannes Maluleke in Mambumbu, Bushbuckridge. As a Maluleke he is a M'nwanati; it is the name of his clan. 
  2. "News". Drum: A Magazine of Africa for Africa: 22. 2002. 
  3. "Revelling in the revelation". Independent Online. November 20, 2002.  Check date values in: |date= (help)
  4. "SOUTH AFRICAN MUSIC". Music. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2022-06-24. Iliwekwa mnamo 2022-05-09. 
  5. "Midmar, a dam good place to be". Independent Online. December 9, 2004.  Check date values in: |date= (help)
  6. "Sama10: All the winners | News24", News24, 31 May 2004. 
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jeff Maluleke kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.