Jeff Foxworthy
Mandhari
Jeff Foxworthy | |
---|---|
Jeff Foxworthy, mnamo 2010 | |
Amezaliwa | Jeffrey Marshall Foxworthy 6 Septemba 1958 Atlanta, Georgia, Marekani |
Kazi yake | Mwigizaji, mchekeshaji |
Miaka ya kazi | 1982-hadi leo |
Ndoa | Pamela Gregg (1985) |
Watoto | 2 |
[jefffoxworthy.com Tovuti rasmi] |
Jeffrey Marshall "Jeff" Foxworthy (amezaliwa tar. 6 Septemba 1958) ni mwigizaji wa filamu na mchekeshaji kutoka nchini Marekani.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]Viungo vya Nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani wa Marekani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Jeff Foxworthy kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |