Jeanne Goosen

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Jeanne Goosen (amezaliwa 1938) alikuwa mwandishi wa Afrika Kusini. Alifanya kazi mbalimbali, baadhi yao kama mwandishi wa habari. Alitolea mashairi na tamthiliya.

Maandishi yake[hariri | hariri chanzo]

  • Kombuis-blues (tamthiliya)
  • Ons is niet almal so nie ("Hatuko sote kama hivyo", riwaya fupi, 1990)

Angalia pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Chapman, Michael. 2003. Southern African Literatures, University of Natal Press. ISBN 1-86914-028-1
People.svg Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jeanne Goosen kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.