Nenda kwa yaliyomo

Jean Tokole Ilongo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Jean Ilongo Tokole ni mwanasiasa wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

Ndiye gavana wa kwanza kabisa kuchaguliwa wa jimbo jipya la Tshopo kufuatia uchaguzi ulioandaliwa na Tume Huru ya Uchaguzi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo CENI mwezi Machi 2016. Hoja ya kutokuwa na imani iliwasilishwa dhidi yake mnamo 2017. Costant Lomata akamrithi [1].

Amechaguliwa kuwa mwanachama wa CENI na upinzani mwaka wa 2022.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. url=https://www.radiookapi.net/2017/08/29/actualite/en-bref/constant-lomata-nouveau-gouverneur-de-la-tshopo |site=radiookapi.net|titre= Constant Lomata nouveau gouverneur de la Tshopo |année=2017|date= 29 août 2017 |consulté le =29 août 2022.
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jean Tokole Ilongo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.