Jean-Louis Vey
Mandhari
Jean-Louis Vey M.E.P. (16 Januari 1840 – 21 Februari 1909) alikuwa mmisionari wa Kanisa Katoliki kutoka Ufaransa, padre halafu askofu ambaye alihudumu kama Vika Apostoliki wa Siam ya Mashariki kuanzia 1875 hadi 1909.[1][2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Bishop Jean-Louis Vey [Catholic-Hierarchy]". www.catholic-hierarchy.org. Iliwekwa mnamo 2024-07-10.
- ↑ "0874 - VEY Jean-Louis". IRFA (kwa Kiingereza (Uingereza)). Iliwekwa mnamo 2024-07-10.
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |