Nenda kwa yaliyomo

Jean-Louis Taberd

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Jean-Louis Taberd (17941840) alikuwa mmisionari wa Kanisa Katoliki kutoka Ufaransa katika Shirika la Misheni za Kigeni za Paris, na askofu wa jimbojina la Isauropolis, katika sehemu za watu wasioamini.[1][2]

Ramani ya Dola ya Kivietinamu, katika Dictionarium Latino-Annamiticum ya Taberd ya 1838.
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.