Nenda kwa yaliyomo

Jayda Hylton-Pelaia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Jayda Cheyni Hylton-Pelaia (alizaliwa 30 Mei, 1998) ni mchezaji wa mpira wa miguu anayechukua nafasi ya beki wa pembeni katika klabu ya Woodbridge Strikers inayoshiriki ligi ya kwanza ya Ontario ya wanawake na timu ya taifa ya wanawake ya Jamaika. Alizaliwa Kanada, lakini anaiwakilisha Jamaika katika ngazi ya kimataifa.[1] [2][3]

  1. Woodward, Ronnie (16 Agosti 2019). "Back in purple and gold after Jamaican summer". The Daily Reflector. Adams Publishing Group. Iliwekwa mnamo 16 Julai 2022.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Jaguars claw way to title in Cincinnati". The Mississauga News. Metroland Media Group. 10 Mei 2022. Iliwekwa mnamo 16 Julai 2022.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. "Jayda Hylton-Pelaia – Arizona State profile". Arizona State Sun Devils. Arizona State University. Iliwekwa mnamo 16 Julai 2022.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jayda Hylton-Pelaia kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.