Nenda kwa yaliyomo

Jayana

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Jemima Annor Yeboah, anajulikana zaidi kwa jina la kisanii la Jayana, ni mwimbaji wa nyimbo za Injili wa nchini Ghana, mtunzi wa nyimbo na mjasiriamali. Alitawazwa kuwa mwimbaji bora wa kike wa mwaka 2020 katika tuzo za muziki wa Injili za Urban za Ghana (Ghana Urban Gospel Music Awards). [1]

Maisha ya awali

[hariri | hariri chanzo]

Jayana alizaliwa katika familia ya waimbaji. [2] [3] Ni binti wa pili wa Marehemu Askofu Dk Augustine Annor-Yeboah, [4] [5] Ana dada wanne, Mavis, Deborah, Karen na Julie. Wakati wa miaka ya malezi ya Jayana kama mtoto wa mchungaji, alitumia sehemu ya wakati wake kusikiliza na kujifunza injili ya kisasa, na kusifu na kuabudu.

  1. "Jayana wins 'female vocalist of the year' at GUGMA Awards 2020". Angel Online (kwa American English). 2020-07-28. Iliwekwa mnamo 2021-01-16.
  2. Wemakor, Senanu Damilola (2020-03-30). "Breaking barriers with worship: The music and life of gospel artiste Jayana". Starr Fm (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2020-11-07.
  3. Ghana, News (2020-07-21). "Who is Jemima Annor-Yeboah [Jayana]". News Ghana (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2020-11-07. {{cite web}}: |first= has generic name (help)
  4. "Former Ag. CAC Chairman Apostle Annor Yeboah has died - MyJoyOnline.com". www.myjoyonline.com (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2021-01-16.
  5. Adjorlolo, Ruth Abla. "Apostle Annor Yeboah is dead". www.gbcghana.com (kwa Kiingereza). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-01-22. Iliwekwa mnamo 2021-01-16.
Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jayana kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.