Jas Waters

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jas Waters
Amezaliwa Jas Waters
21 October 1980
Evanston
Amekufa 9 June 2020
Hollywood
Jina lingine Jas
Kazi yake Mwandishi
Jas Waters

Jas Waters (pia anajulikana kwa jina lingine kama Jas Fly; 21 Oktoba 19808 Juni 2020) alikuwa raia wa Marekani mwandishi wa habari pamoja na bonga. Pia alikuwa ni mwandishi wa wafanyakazi kama This Is Us na aliandika The breaks, pamoja na Hood Adjacent with James Davis,[1] na Kidding.[2]

Waters alikuwa mwandishi wa habari hasa kwenye tasnia ya muziki wa hip hop,[3] pia aliandika mshororo wakidijitali uitwao Vibe Vixen mwanzoni mwa mwaka 2010[4] and starring in the reality show The Gossip Game.[5] pia alishiriki katika kusimamia na kuhakikisha kazi zawana filamu hasa weusi wanapata haki zao.[1][6]

Waters alizaliwa katika mji wa Evanston, Illinois,[4] nakukuzwa na bibi yake.[6] baada ya kumaliza Evanston Township High School, na kuelekea Columbia College Chicago.[4]

Alifariki kwa kujiua mnamo Juni 9, 2020, katika mji wa Los Angeles County, California.[7]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. 1.0 1.1 Ryu, Jenna (June 11, 2020). "'This Is Us' writer Jas Waters dies at 39; cast pays tribute to 'brilliant storyteller'". USA Today (kwa en-US). Iliwekwa mnamo June 12, 2020.  Unknown parameter |url-status= ignored (help); Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  2. McGloster, Niki (November 5, 2018). "'Kidding' Writer Jas Waters On Her Journey To Hollywood And Having A Seat At The Table". Shadow And Act (kwa en-US). Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-05-22. Iliwekwa mnamo June 19, 2020.  More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  3. Yoo, Noah (June 11, 2020). "TV Writer and Hip-Hop Journalist Jas Waters Dead at 39". Pitchfork (kwa en-US). Iliwekwa mnamo June 12, 2020.  Unknown parameter |url-status= ignored (help); Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  4. 4.0 4.1 4.2 Carras, Christi. "Jas Waters, journalist and TV writer for 'This Is Us' and 'Kidding,' dies at 39", Los Angeles Times, June 10, 2020. (en-US) 
  5. Thorpe, Isa (June 10, 2020). "Hip hop journalist and TV writer Jas Waters dies" (kwa en-US). Revolt. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-05-22. Iliwekwa mnamo June 19, 2020.  More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  6. 6.0 6.1 Hale, Andreas (April 10, 2018). "She's Bringing the Black Experience to American Television". OZY (kwa en-US). Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-06-12. Iliwekwa mnamo June 12, 2020.  Unknown parameter |url-status= ignored (help); More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  7. Kubota, Samantha. "'This Is Us' writer Jas Waters died by suicide, officials say", June 11, 2020. (en-US) 
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jas Waters kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.