Jaribio la Levene

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Katika takwimu, Jaribio la Levene (kwa Kiingereza: Levene test) ni jaribio la takwimu ambalo linaweza kujaribu usawa wa muachano wa kibadilika kinahesabiwa katika mbili au zaidi katika makundi.

Jaribio la Levene linaitwa pia: Jaribio la hali moja.

Hali moja inapatwa kwa hesabu kama Jaribio la Levene.

Kwa programu ya takwimu R[hariri | hariri chanzo]

Ili utafute Jaribio la Levene kwa lugha ya programu ya takwimu R uandike:

> leveneTest(x)

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Saleh, A. M. E., & Ehsanes, M. (2001). An introduction to probability and statistics. Wiley.
  • Peck, R., Olsen, C., & Devore, J. L. (2015). Introduction to statistics and data analysis. Cengage Learning.
E-to-the-i-pi.svg Makala hii kuhusu mambo ya hisabati bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jaribio la Levene kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.