Nenda kwa yaliyomo

Jaribio T la Welch

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Katika takwimu, Jaribio T la Welch (kwa Kiingereza: Welch's test) ni jaribio la takwimu ambalo linaweza kujaribu upweke kati ya wastani mbili kwenye muachano tofauti.

Jaribio T la Welch ni mbadala wa Jaribio T la Mwanafunzi.

Kwa programu ya takwimu R

[hariri | hariri chanzo]

Ili utafute jaribio T la Welch kwa lugha ya programu ya takwimu R uandike:

> t.test(x, y, var.equal = FALSE)

  • Saleh, A. M. E., & Ehsanes, M. (2001). An introduction to probability and statistics. Wiley.
  • Peck, R., Olsen, C., & Devore, J. L. (2015). Introduction to statistics and data analysis. Cengage Learning.
Makala hii kuhusu mambo ya hisabati bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jaribio T la Welch kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.