Jaribio Q la Cochran

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Katika takwimu, Jaribio Q la Cochran (kwa Kiingereza: Cochran's Q test) ni jaribio la takwimu ambalo linaweza kujaribu tofauti za uwiano mbili au zaidi.

Jaribio Q la Cochran linaitwa pia: Q la Cochran.

Q la Cochran inapatwa kwa hesabu kama Jaribio Q la Cochran.

Kwa programu ya takwimu R[hariri | hariri chanzo]

Ili utafute Q la Cochran kwa lugha ya programu ya takwimu R uandike:

> library(RVAideMemoire)

> cochran.qtest(DV~IV|Subjects)

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Saleh, A. M. E., & Ehsanes, M. (2001). An introduction to probability and statistics. Wiley.
  • Peck, R., Olsen, C., & Devore, J. L. (2015). Introduction to statistics and data analysis. Cengage Learning.
Makala hii kuhusu mambo ya hisabati bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jaribio Q la Cochran kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.