Nenda kwa yaliyomo

Japan Gold Disc Award

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Tuzo ya Diski ya Dhahabu za Japan ni tuzo inayotolewa na Chama cha sekta ya kurekodi cha Japan katika nyanja ya muziki.

Vipengele

[hariri | hariri chanzo]
  • Msanii Bora wa Mwaka
  • Msanii Mpya wa Mwaka
  • Msanii Bora wa Enka/Kayokyoku
  • Msanii mpya Bora wa Enka/Kayokyoku
  • Nyimbo pekee ya Mwaka
  • Wimbo Bora wa Mwaka ulioongoza kwa kupakuliwa
  • Wimbo Bora wa Mwaka ulioangaliwa mtandaoni
  • Albamu ya Mwaka
  • Albamu Bora ya Mwaka ya Enka/Kayokyoku
  • Albamu Bora ya Mwaka
  • Albamu Bora ya Mwaka ya Jazz
  • Albamu ya Ala ya Mwaka
  • Albamu Bora ya Mwaka ya Muziki wa Jadi wa Kijapani
  • Albamu ya Dhana ya Mwaka
  • Video ya Muziki ya Mwaka
  • Tuzo Maalum
  • Msanii Bora wa Asia
Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Japan Gold Disc Award kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.