Jann Aldredge-Clanton

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Jann Aldredge-Clanton (alizaliwa Texas nchini Marekani, 1946 [1]) ni mtawazwa wa Kikristo, mwandishi, mwalimu, na kasisi, anayeongoza makongamano kote nchini Marekani.

Ameandika vitabu tisa, vitabu vitatu vya nyimbo za muziki wa watoto.[2] Pia amechapisha makala nyingi katika machapisho mbalimbali kama vile Christian Feminism Today, The Journal of Pastoral Care,[3]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. http://digitalcollections.baylor.edu/cdm/ref/collection/buioh/id/2646 Oral Memoirs of Jann Aldredge-Clanton, Baylor University Institute for Oral History; also see Breaking Free: The Story of a Feminist Baptist Minister Eakin Press, 2002
  2. "Books by Rev. Jann Aldredge-Clanton, PhD - SkyLight Paths Publishing". 
  3. Maxwell, Travis; Aldredge-Clanton, Jann (1994). "Survivor Guilt in Cancer Patients: A Pastoral Perspective". Journal of Pastoral Care 48 (1): 25–31. PMID 10133165. doi:10.1177/002234099404800104.  Unknown parameter |s2cid= ignored (help)[dead link]
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jann Aldredge-Clanton kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.