Janeth Shija

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Janeth Shija Simba, ni mchezaji wa mpira wa miguu wa nchini Tanzania ambaye anacheza kama golikipa wa Simba Queens na Timu ya Taifa ya Wanawake Tanzania .

Ushiriki Kimataifa[hariri | hariri chanzo]

Mnamo mwaka 2019, Shija aliitwa kwenye Timu ya Taifa ya wanawake Tanzania chini ya miaka 20 kwa ajili ya ufunguzi wa michuano ya Kombe la COSAFA la Wanawake chini ya miaka 20 mwaka 2019.[1] Mwisho wa mashindano hayo Tanzania iliibuka mabingwa baada ya kuifunga Zambia mabao 2-1 katika mchezo wa fainali.[2] Alitajwa katika orodha ya kikosi cha michuano Kombe la Wanawake la COSAFA mwaka 2021.[3] Alianza mechi zote tano wakati wa mashindano huku Tanzania ikiibua mabingwa kwa mara ya kwanza katika historia.


Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Janeth Shija kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.