Jana Sedláčková
Mandhari
Jana Petříková (alizaliwa 21 Januari 1993) ni mchezaji wa soka wa zamani wa Jamhuri ya Czech na ambaye alicheza kama beki wa klabu ya FC Carl Zeiss Jena kwenye ligi ya Frauen-Bundesliga nchini Ujerumani na timu ya taifa ya Jamhuri ya Czech.[1][2]
Alikuwa mchezaji wa timu ya taifa ya Jamhuri ya Czech tangu 2009. [3]Alichezea timu ya taifa kwa mara ya kwanza mnamo 26 Novemba 2009 katika mechi dhidi ya Ubelgiji.[4]Jana alikuwa mchezaji bora wa Mwaka 2009 wa Jamhuri ya Czech.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Sedláčková vierter Neuzugang bei FF USV Jena", welt.de, 13 June 2015. Retrieved on 28 June 2015. (German)
- ↑ "Spielerinnenprofil", dfb.de, 27 June 2015. Retrieved on 28 June 2015. (German)
- ↑ Profile at UEFA website
- ↑ "Fotbalistkou roku je poprvé Divišová, futsalistům vládl Rešetár", sport.cz, 10 January 2010. Retrieved on 27 February 2012. (Czech) Archived from the original on 2010-11-12.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Jana Sedláčková kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |