Jan Peter Balkenende
Mandhari

Jan Pieter "Jan Peter" Balkenende (amezaliwa 7 Mei 1956) ni mwanasiasa nchini Uholanzi. Tangu 22 Julai 2002 alikuwa Waziri Mkuu wa Uholanzi akaongoza mabaraza manne ya mawaziri bali tarehe 9 Juni 2010 alijiuzulu.
Angalia Pia
[hariri | hariri chanzo]![]() |
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Jan Peter Balkenende kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |