Jamii za Kenya

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Makabila ya Kenya kulingana na wanamoishi.

Jamii ni istilahi inayoelezea uwepo wa pamoja wa mwanadamu (kwa pamoja, inataja jumla ya mitandao ya kijamii na nguvu ya mitandao yake).

Haitaji kila kitu ambacho mtu anafikiria kuwa nacho au hana, bali yale ya mambo ambayo kila mtu anayetenda kwa dhumuni maalumu.

Jamii ni watu wanaokaa pamoja na kushirikiana kwa mambo mbalimbali, kwa mfano masuala ya afya, elimu na ulinzi: mambo hayo yanapowakutanisha watu hujenga kitu kinachoitwa jamii, jamii hujenga umoja na upendo baina ya watu husika

Jamii za Kenya[hariri | hariri chanzo]

Jamii za Kenya

Jamii za kikabila nchini Kenya[1] zimegawanyika katika makundi matatu:

*Wabantu

*Wakushi

*Waniloti

Nchini Kenya jamii za kikabila ni muhimu sana hasa katika: siasa, kazi za kiserikali, matibabu, elimu na katika kupeana kazi[2]. Jamii hizo nchini Kenya zimegawanyika katika makabila takribani arubaini na tano.

Jamii za kenya

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. "Focus on tribalism in Kenya". openDemocracy (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2022-03-27. 
  2. "Kenya is stuck in tribalism, and calls for national unity are all too often manipulative". D+C (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2022-03-27.