James McCarthy

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
James McCarthy

James Patrick McCarthy (alizaliwa Novemba 12, 1990) ni mchezaji wa soka ambaye anacheza kama kiungo wa kati wa klabu ya Everton na timu ya taifa ya Ireland.


Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu James McCarthy kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.