Nenda kwa yaliyomo

James Isabirye Mugoya

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

James Isabirye Mugoya, anajulikana pia kama James Isabirye au James Mugoya, ni mhandisi wa masuala ya Ujenzi na ni mfanyabiashara kutoka nchini Uganda . Ni mwanzilishi, mmiliki, mwenyekiti, na afisa mkuu mtendaji wa kampuni ya Mugoya Construction Company Limited. [1] Mnamo mwaka 2012, aliorodheshwa kama mmoja wa watu matajiri zaidi nchini Uganda . [2]

Maisha ya awali na elimu[hariri | hariri chanzo]

Mugoya alizaliwa katika Mkoa wa Mashariki wa Uganda, miaka ya 1950. Alisoma chuo King's College Budo kabla ya kuingia Chuo Kikuu cha Nairobi, ambapo alipata shahada ya kwanza ya Sayansi katika uhandisi wa ujenzi. [3]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Kisero, Jandi (24 Machi 2012). "Mugoya's Ksh342m award and the art of cowboy contracting". Iliwekwa mnamo 11 Machi 2016.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. Michael Kanaabi, and Ssebidde Kiryowa (6 Januari 2012). "The Deepest Pockets". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-06-20. Iliwekwa mnamo 11 Machi 2016.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. Olita, Reuben (3 Agosti 2007). "Tycoon Mugoya charged in Nairobi". Iliwekwa mnamo 11 Machi 2016.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu James Isabirye Mugoya kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.