Nenda kwa yaliyomo

Jamal Alioui

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Jamal Alioui (Kiarabu: جمال عليوي‎; alizaliwa 2 Juni 1982) ni mchezaji wa zamani wa soka wa kulipwa na kocha mkuu wa sasa wa klabu ya Ufaransa ya Championnat National 2 GOAL FC.

Awali alikuwa akicheza katika vilabu vya Perugia Calcio, Calcio Catania, F.C. Crotone, FC Metz, FC Sion, FC Nantes, Wydad Casablanca katika ligi ya Moroko na Al-Kharitiyath katika Qatar Stars League.

Mafanikio

[hariri | hariri chanzo]

Perugia

Sion

  1. "Wolfsburg 0-2 Perugia (Jumla: 0 - 3)". uefa.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 6 Oktoba 2003. Iliwekwa mnamo 15 Juni 2020.
  2. "Switzerland Cup Details". 

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jamal Alioui kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.