Nenda kwa yaliyomo

Jakob Schüller

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jakob Schüller

Jakob Schüller ( 26 Juni 190522 Januari 1944 ) alikuwa mwanariadha wa Ujerumani ambaye alishiriki katika Michezo ya Olimpiki mwaka 1928 katika mbio za mita 200 na kumaliza katika nafasi ya sita. Aliuawa wakati wa vita ya pili ya dunia.[1] [2]

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jakob Schüller kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.