Nenda kwa yaliyomo

Jah Cure

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jah Cure ameegemea Ukuta wa Rasta

Jah Cure au Iyah Cure (alizaliwa Hanover, Jamaika, 11 Oktoba 1978) ni mwanamuziki wa reggae kutoka Jamaika. Alikulia Kingston, akapewa jina Jah Cure na Capleton.[1][2]

  1. Hawks, Harry (2019-10-04). "Jah Cure". Reggae Collector. Iliwekwa mnamo 2020-08-27. Siccaturie was named Jah Cure by deejay Capleton because he looked "young and healthy".
  2. Stelfox, Dave. "Pitchfork: The Month in Reggae/Dancehall". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 17 Desemba 2007. Iliwekwa mnamo 2007-08-22.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jah Cure kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.