Jacques Riparelli
Mandhari
Jacques Riparelli (alizaliwa Yaoundé, Kameruni, 27 Machi 1983) ni mwanariadha ambaye alishiriki mashindano ya riadha kimataifa kwa Italia.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Jacques Riparelli Bio, Stats, and Results". Olympics at Sports-Reference.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2015-05-31. Iliwekwa mnamo 2015-05-30.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Jacques Riparelli kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |