Jacko Gill
Mandhari
Jackson Gill (amezaliwa Desemba 20, 1994)[1] ni mwanamichezo wa mitupo na riadha wa nchini New Zealand anayeshindana kutupa tufe.Gill hutumia mkono wake wa kulia kutupa tufe kwa mbinu ya mzunguko.[2] Mnamo mwaka 2010 alishinda medali ya dhahabu katika World Junior Championships akiwa na umri wa miaka 15 na siku 213, iliyomfanya kuwa kijana mdogo kuwahi kutokea kushinda medali ya dhahabu Katika World Junior Championships (Akimpita Usain Bolt ambaye akiwa na umri wa miaka 15 na siku 332 alishinda mita 200 mwaka 2002) Mwaka 2012 alitetea taji lake katika michuano ya vijana duniani.[3]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Jacko GILL | Profile | World Athletics". worldathletics.org. Iliwekwa mnamo 2021-11-01.
- ↑ "Jacko Gill". New Zealand Olympic Team (kwa Kiingereza). 2016-02-09. Iliwekwa mnamo 2021-11-01.
- ↑ "Jacko GILL". Olympics.com. Iliwekwa mnamo 2021-11-01.