Jacko Gill

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Gill kwenye Mashindano ya Dunia ya mwaka 2017
Gill kwenye Mashindano ya Dunia ya mwaka 2017

Jackson Gill (amezaliwa Desemba 20, 1994)[1] ni mwanamichezo wa mitupo na riadha wa nchini New Zealand anayeshindana kutupa tufe.Gill hutumia mkono wake wa kulia kutupa tufe kwa mbinu ya mzunguko.[2] Mnamo mwaka 2010 alishinda medali ya dhahabu  katika  World Junior Championships akiwa na umri  wa miaka 15 na siku  213, iliyomfanya kuwa kijana mdogo kuwahi kutokea  kushinda medali ya dhahabu Katika  World Junior Championships (Akimpita Usain Bolt ambaye akiwa na umri wa miaka 15 na siku 332 alishinda mita 200 mwaka 2002) Mwaka 2012 alitetea taji lake katika michuano ya vijana duniani.[3]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Jacko GILL | Profile | World Athletics. worldathletics.org. Iliwekwa mnamo 2021-11-01.
  2. Jacko Gill (en). New Zealand Olympic Team (2016-02-09). Iliwekwa mnamo 2021-11-01.
  3. Jacko GILL. Olympics.com. Iliwekwa mnamo 2021-11-01.