Nenda kwa yaliyomo

Jack Peddie

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

John Hope Peddie (anajulikana kama Jack au Jock Peddie; 3 Machi 1876 - 20 Oktoba 1928) alikuwa mchezaji wa mpira wa miguu wa Uskoti, aliyecheza katika vilabu tofautitofauti huko Uingereza na Uskoti, ambavyo ni Newcastle United, Manchester United, Plymouth Argyle na Heart of Midlothian.

Kama mchezaji wa Plymouth, anajulikana sana kwa kufunga mabao katika Ligi ya Soka ya Magharibi na Ligi ya Soka Kusini.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Danes, Ryan (2009). Plymouth Argyle: The Complete Record. Derby: Breedon Books. uk. 144. ISBN 978-1-85983-710-8.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jack Peddie kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.